Azam imeanza vibaya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, baada ya kufungwa mabao 2-0 na AS Maniema Union, katika mechi ya kwanza iliyopigwa kwenye Uwanja wa Stade des Martyrs, huko jijini Kinshasa DR Congo.
Simba yapigwa Kwa Mkapa Jumapili, Novemba 23, 2025
Reviewed by Employ
on
November 23, 2025
Rating: 5
No comments